Mnamo tarehe 5 Mwezi Juni kila mwaka Dunia huadhimisha siku ya mazingira duniani. Ujumbe wa mwaka huu ni Uchafuzi wa Hewa: Hatuwezi kuacha kupumua lakini Twaweza kufanya kitu juu ya ubora wa hewa tuivutayo” Maadhimisho ya kidunia yatafanyika nchini China.