Mwongozo huu unalenga kutoa mafunzo kwa kada zote zinazohusu usimamizi na utoaji huduma katika jamii kupitia maliasili (misitu na wanyamapori) nchini kuanzia wanavijiji, wafanyakazi hadi viongozo wa Serikali katika ngazi ya vitongoji, vijiji, kata, tarafa na halmashauri na wilaya na miji.